Thursday, November 5, 2015
@nkupamah blog
Muhubiri wa Kimataifa kutoka nchini Nigeria, T. B. Joshua (shati la
miraba), akizungumza jambo na wenyeji wake, aliekuwa Mgombea Urais wa
Tanzania kwa tiketi ya CHADEMA kupitia mwamvuli wa UKAWA, Edward Lowassa
na viongozi wakuu wa UKAWA,Freeman Mbowe, James Mbatia pamoja na
mwanasiasa mkongwe nchini, Mzee Kingunge Ngombale Mwiru, wakati
alipofika nyumbani kwa Lowassa, Masaki jijini Dar es Salaam kwa
mazungumzo maalum.
0 comments :
Post a Comment