UCHAGUZI WA UNAIBU SPIKA CCM ,DK. TULIA NJIA NYEUPE UNAIBU SPIKA

 

 Dk. Tulia Ackson amepita bila kupingwa baada ya kuchaguliwa na wabunge wa CCM kugombea nafasi ya Unaibu Spika katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
 Mmoja wa wagombea wa nafasi ya Unaibu spika Bahati Abeid akizungumza mbele ya wabunge wa
CCM.
 Mhe. Mariam Kisangi akizungumza mbele ya wabunge wa CCM kwenye ukumbi wa NEC mjini Dodoma ambapo yeye pamoja na Bahati Abeid walijitoa na kumpa nafasi Dk.Tulia Ackson kupita bila kupingwa
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akiongea wakati wa kuendesha zoezi la kumpata Naibu Spika  kwenye ukumbi wa NEC, CCM Makao Makuu mjini Dodoma.

 








Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment