WATEJA WA AIRTEL KUANGALIA VIPINDI VYA TELEVISION KUPITIA SIMU ZA MKONONI



Meneja Uhusiano wa Airtel Bwana Jackson Mmbando akionyesha huduma mpya ya "Airtel TV"  inavyofanya kazi wakati wa uzinduzi wa huduma hiyo itakayowawezesha wateja wa Airtel kuangalia vipindi katika vituo mbalimbali vya television kupitia simu zao za mkononi, akishuhudia ni Meneja huduma za ziada wa Airtel,Prisca Tembo.


Meneja Uhusiano wa Airtel Bwana Jackson Mmbando akiongea wakati wa uzinduzi wa huduma  mpya ya "Airtel TV" itakayowawezesha wateja wa Airtel kuangalia vipindi katika vituo mbalimbali vya television

kupitia simu zao za mkononi.

***********

  *   Kuunganishwa na chanel  8 za ndani na nje

  *   Kujiunga na vifurushi vya kuangalia TV bila kikomo vya siku, wiki na mwezi 

Dar es Salaam, Tanzania 19 Novemba 2015, kampuni ya simu za mkononi ya Airtel leo imezindua huduma ya ziada itakayowawezesha wateja wake nchi  nzima kuangalia vipindi vya televisheni katika vituo vya ndani na nje  ya nchi kupitia simu zao za mkononi.


Huduma hii mpya ijulikanayo kama "Airtel TV" imeunganishwa na vituo 8 za televisheni vya ndani na nje ya nchi na kuwawezesha wateja wa Airtel kuangalia vipindi vilivyopita katika tamsilia wanazozipenda,
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment