Tuesday, December 1, 2015
@nkupamah blog
Mafundi
wakiendelea na Upanuzi wa barabara ya Mwenge Morocco jijini Dar es
Salaam leo ikiwa ni sehemu ya agizo la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli.
Hii ni baada ya Rais kuelekeza fedha za maadhimisho ya siku ya uhuru ya Disemba 9 zitumike katika upanuzi wa barabara hiyo.
Hii ni baada ya Rais kuelekeza fedha za maadhimisho ya siku ya uhuru ya Disemba 9 zitumike katika upanuzi wa barabara hiyo.
0 comments :
Post a Comment