Ajali ya barabarani imetokea leo asubuhi eneo la Igurusi mkoani Mbeya ikiwa imehusisha basi la abiria mali ya Kampuni ya New Force, malori mawili ya mizigo na gari jingine dogo.Basi hilo la abiria hufanya safari zake kati ta Tunduma na Dar es Salaam.
Jeshi la Polisi bado halijatoa taarifa kuhusu chanzo cha ajali hiyo na kama kuna watu waliofariki kutokana na ajal hiyo.
0 comments :
Post a Comment