Bendi maarufu ya muziki wa dansi
barani ulaya The Ngoma Africa Band aka FFU-ughaibuni inayoongozwa na
Kamanda Ras Makunja yenye maskani nchini ujerumani
inawatakieni kila la heri
katika siku kuu ya Maulid el Nabii Muhammad(S.W.A) pia Heri ya siku kuu
ya Krismasi kwa wadau wote iwena amani,upendo,furaha na mshikamano bila
kusahau kupata muziki hapa
0 comments :
Post a Comment