TIGO YAZINDUA DUKA JIPYA MUSOMA MJINI

    Mkuu   wa  Wilaya ya  Musoma  Mjini ,Mhe.Zelothe Stephen
akikaribishwa   na    mwenyeji wake, Meneja  Beatrice
Kinabo  kabla  ya uzinduzi wa  tawi  jipya la Tigo  Musoma  mjini.
Wengine  pichani   Mkuu  wa   Polisi   Mkoa  wa Mara, Philip Kalangi  na    mwakilisi      wa RAC.
                                 Meneja wa
Mauzo  wa Tigo Mkoa    wa  Mara
Edwin Kisamo  akitoa   utambulisho
kwa meza  kuu.
Meneja  wa   Mauzo Tigo  Kanda  ya   Ziwa, Edgar Mapande akiongea na wageni  waalikwa na wanahabari  kabla ya
uzinduzi wa  Duka la Tigo wilayani  Musoma
Mjini 
Mkuu  wa  Wilaya  ya MusomaMjini ,Mhe.Zelothe Stephen akikata  utepe kufungua  rasmi  duka
la TigoMusomaMjini , anayeshuhudia  ni Meneja
huduma kwa  Wateja wa  Tigo kanda ya
Ziwa Beatrice Kinabo.
   Meneja  wa  Mauzo
Tigo  Kandayaziwa, Edgar Mapande  akimkabidhi
simu Mkuu wa  Wilaya  ya  Musoma  Mjini  Mhe.Zelothe
Stephen, mara  baada  ya  uzinduzi
wa   duka la Tigo Musoma   mjini.
      Mkuu  wa  Wilaya  ya  MusomaMjini
, Mhe.Zelothe Stephen akiongea na waandishi wa habari na wadau  mbalimbali
wakati wa  ufunguzi  wa  duka
la Tigo   Musomamjini, Wengine   kutoka  kulia Meneja wa Mauzo Tigo mkoa wa Mara,
Edwin Kisamo, Meneja huduma kwa Wateja wa Tigo kanda ya Ziwa Beatrice Kinabo  na   Katibu  wa   Mkuu  wa mkoa
Bw. Marwa
        Meneja  wa  Mauzo  Tigo
Kanda ya  ziwa, Edgar Mapande  akimkabidhi
simu   Mkuu  wa Polisi
Mkoa  wa Mara, Philip Kalangi  mara baada ya
uzinduzi wa  duka la Tigo  Musoma mjini.
     Baadhi  ya  wateja  wakiangalia
bidhaa  mbalimbali  mara  baada
ya  ufunguzi wa duka la Tigo Musoma Mjini
    Wadau  mbalimbali  waliohudhuria
uzinduzi
       Mkuu  wa  Wilaya  ya  Musoma  Mjini ,Mhe.Zelothe Stephen  akiwa  kwenye  picha ya
pamoja  na  wafanyakazi
wa Tigo  na  wadau  mbalimbali.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment