Katibu Mkuu Wizara ya Habari,
Utamaduni,Sanaa na Michezo Profesa Elisante Ole Gabriel akifungua
Mhadhara wa ukuzaji Kiswahili kupitia tafsiri ulioandaliwa na Mkurugenzi
wa Idara ya Utamaduni Profesa Hermas Mwansoko katika hafla ya kumuaga
Mkurugenzi huyo anayemaliza
muda wake wa utumishi wa umma.(Picha na
Benjamin Sawe-WHUSM)
Katibu Mkuu Wizara ya Habari,
Utamaduni,Sanaa na Michezo Profesa Elisante Ole Gabriel akipokea rasimu
ya awali ya ukuzaji wa Kiswahili kupitia Tafsiri ikiwa ni mchango wa
Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Utamaduni Profesa Hermas Mwansoko,
anayekabidhi ni Mhadhiri wa Chuo Kikuu Huria Dkt. Hadija Jilala. (Picha
na Benjamin Sawe-WHUSM)
: Profesa Aladin Mutembei
aliyesimama kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam akichangia mada ya ukuza
ji wa Kiswahili kupitia Tafsiri katika mhadhara ulioandaliwa na
Mkurugenzi wa Idara ya Utamaduni Profesa Hermas Mwansoko anayemaliza
muda wake wa utumishi wa umma, kulia kwake ni Katibu Mkuu Wizara ya
Habari, Utamaduni,Sanaa na Michezo Profesa Elisante Ole Gabriel (Picha
na Benjamin Sawe-WHUSM)
Katibu Mkuu Wizara ya Habari,
Utamaduni,Sanaa na Michezo Profesa Elisante Ole Gabriel kulia akiteta
jambo na Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Utamaduni Profesa Hermas
Mwansoko mara baada ya kufungua Mhadhara wa ukuzaji wa Kiswahili kutipia
Tafsiri ulioandaliwa na Mkurugenzi huyo anayekaribia kumaliza muda wake
wa Utumishi wa umma. (Picha na Benjamin Sawe-WHUSM)
Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo
ya Utamaduni Profesa Hermas Mwansoko akiwa katika picha ya pamoja na
Mwenyekiti wa Chama cha Sanaa za Maonesho (CHASAMATA) kulia na Katibu
Mtendaji wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) kushoto Godrey Mwingereza
mara baada ya mhadhara wa ukuzaji wa Kiswahili kutipia Tafsiri
ulioandaliwa na Mkurugenzi huyo anayekaribia kumaliza muda wake wa
Utumishi wa umma. (Picha na Benjamin Sawe-WHUSM)
Katibu wa Bodi ya Filamu Joyce
Fissoo akimpongeza Profesa Hermas Mwansoko mara baada ya mhadhara wa
ukuzaji wa Kiswahili kutipia Tafsiri ulioandaliwa na Mkurugenzi huyo
anayekaribia kumaliza muda wake wa Utumishi wa umma . (Picha na Benjamin
Sawe-WHUSM)
0 comments :
Post a Comment