Breaking News: CUF Wagoma Kushiriki Uchaguzi wa Marudio Zanzibar March ,20,2016

Nkupamah media


Kikao cha Baraza kuu la uongozi la chama cha Wananchi CUF kilichoketi  leo makao makuu ya Chama hicho Buguruni Dar es Salaam  na kuhudhuliwa kwa Mwaliko Maalum na Prof. Lipumba na Juma Duni Hajji kimeazimia na kutoa msimamo kuwa chama hicho hakipo tayari kushiriki uchaguzi wa marudio kama ulivyotangazwa na ZEC 

Baraza hilo la uongozi la CUF limesisitiza  kuwa uchaguzi  halali ulishafanyika na kumtaka Msajili wa vyama vya siasa nchini Jaji Fransic Mutungi kuacha kuipendelea CCM na badala yake asimamie katiba na sheria za nchi.

Taarifa zaidi tunakuletea endelea  endelea kutembelea  mtandao wa Nkupamah14.blogspot.com
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment