Awali,
Profesa Janabi alisema Kardinali Pengo alilazwa katika kitengo hicho
mwaka jana kabla ya kuruhusiwa siku 10 baadaye baada ya kupata nafuu na
alipewa siku tisa kurudi hospitalini hapo kwa ajili ya kuendelea
kufuatilia zaidi afya yake.
Kardinali
Pengo alilazwa katika kitengo hicho Desemba 31 mwaka jana na kuruhusiwa
siku 10 baadaye. Januari 18 alirudi hospitalini hapo kwa ajili ya
matibabu ya ufuatilizi kabla ya jana kuruhusiwa.
0 comments :
Post a Comment