Waziri wa Afya, Maendeleo ya
Jamii,Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu, akisalimiana na
wagonjwa
kwenye kituo cha afya Nyankumbu mkoani geita.
Tabibu wa kituo cha afya Nyankumbu
Abdallah Kiroboto akimsikiliza Waziri Ummy mara alipoingia kwenye
chumba cha kutolea huduma,pembeni ni mama aliyefika kituoni hapo na
watoto wake kupata matibabu
Wauguzi wa wodi ya akinamama katika hospitali teule ya mkoa wa geita.
Mganga mfawidhi wa hospitali teule
ya mkoa wa Geita Dkt.Adam Sijaona akimdafanulia jambo waziri Ummy
Mwalimu mara baada ya kutembelea hospitali hiyo.
Wagonjwa waliofika hospitalini hapo wakisubiri huduma kwenye hospitali hiyo.
0 comments :
Post a Comment