Aliyekuwa
Mwenyekiti wa Chama Cha Wananchi (CUF) Prof Ibrahim Lipumba
amemtembelea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt John Pombe
Magufuli na kumpongeza kwa hotuba nzuri iliyoweka mwelekeo mpya wa
Serikali ya Awamu ya Tano.
Pia Prof Lipumba amesifu na kuunga mkono Juhudi za Mhe Rais katika kupambana na wakwepa kodi na wahujumu uchumi.
Hii hapa pia taarifa kutoka Ikulu kuhusu mwaliko wa Prof. Lipumba ndani ya Ikulu.
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments :
Post a Comment