Waziri Mkuu Awasili Mjini Dodoma Kuhudhuria Vikao Vya Bunge .....Afanya Mazungumzo na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana

 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma,Chiku Galawa baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Dodoma January 20, 2016 ambako pamoja na mambo mengine anatarajiwa kuhudhuria vikao vya Bunge. Kulia ni mkewe Mary. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa akizungumza na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu  Abdulrahman Kinana kwenye Ofisi Kuu ya CCM mjini Dodoma jana Januari 20, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment