Kutoka Bungeni mjini Dodoma
dakika chache zilizopita tayari Kambi rasmi ya upinzani imetangazabaraza la mawazili kivuli katika wizara mbalimbali. Kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani Bungeni Freeman Mbowe amewataja wabunge hao wa upinzani watakao kuwa wanatumikia Wizara hizo ni pamoja na:
BARAZA LA MAWAZIRI KIVULI
Wizara ya Ofisi ya Makamu wa Raisi, Muungano na Mazingira
Waziri – Ally Salehe Abdala
Naibu Waziri – Pauline Philipo
Ofisi ya Waziri Mkuu: Sera, Bunge, Kazi Vijana, Ajira na Walemavu
Waziri – Ester Bulaya
MaNaibu – Yusuph Makame na Maftaa Abdallah.
Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
Waziri – Magdalena Sakaya
Naibu Waziri – Dk. Swile
Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano.
Waziri James Mbatia.
Naibu Waziri –Mh. Willy
Wizara ya Fedha na Mipango
Waziri Halima Mdee.
Naibu Waziri -David Silinde
Wizara ya Nishati na Madini
Waziri – John Mnyika.
Naibu Waziri – John Heche.
Wizara ya Katiba na Sheria,
Waziri – Tundu Lissu
Waziri wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afika Mashariki, Kikanda na Kimataifa.
Waziri – Mch. Peter Msigwa
Naibu Waziri –
Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa
Waziri – Juma Omary.
Naibu- Mwita Waitara
Wizara ya Mambo ya Ndani
Waziri – Godbless Lema.
Naibu-Masoud Abdallah.
Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi.
Waziri – Wilfred Lwakatale
Naibu Waziri – Mh. Mwassa
Wizara ya Maliasili na Utalii
Waziri Ester Matiko.
Naibu Waziri– Sesilia Pareso
Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji.
Waziri Anton Comu
Wizara ya Elimu,Sayansi Teknolojia na Ufundi.
Waziri Suzan Lymo.
Naibu Waziri – Dk. Ally Yusuph
Wizara ya Afya,Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto
Waziri – Goodwin Mollel
Naibu Waziri – Zubeda Sakulu
Wizara ya Habari, Utamadu, Wasanii na Michezo
Waziri – Joseph Mbilinyi ‘Sugu’
Naibu Waziri – Devata Minja.
Wizara ya Maji na Umwagiliaji
Waziri – Hassan Bali
Naibu Waziri– Peter Lijuakali
Mkuu wa Kambi ya upinzanii bungeni, Freeman Mbowe akitangaza baraza kivuli mapema leo 5 Februari ndnai ya Bunge la 11, Mkutano wa Pili katika Kikao cha tisa (9). Picha na Andrew Chale..
0 comments :
Post a Comment