Nkupamah Media:
KAMA ulidhani ile kesi inayomkabili msemaji wa Yanga, Jerry Muro imepotezewa kiaina, unajidanganya, maana Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limesema bado iko hai na muda wowote ataitwa kwenye Kamati ya Maadili kusomewa kesi yake.
Katibu wa TFF, Selestine Mwesigwa, ameliambia gazeti hili kuwa, ataitwa kwa kuwa siyo mara yake ya kwanza kwani aliwahi kutozwa faini na Kamati ya Nidhamu kwa kosa jingine


0 comments :
Post a Comment