KAMATI ZA KUDUMU ZA BUNGE ZAPEWA MAFUNZO

Nkupamah media:

BUN1
Mjumbe wa Kamati ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama Mhe Prosper Mbene (MB) akifafanua jambo wakati wa Kikao cha Mafunzo cha Kamati hiyo ilipokutana na Sekta inayosimamiwa na wizara hiyo jijini Dar es Salaam.Picha na Ofisi ya Bunge
BUN2
Naibu waziri wa TAMISEMI Mhe Selemain Jaffo (MB) akizungumza na wajumbe wa Kamati ya Hesabu za serikali wakati wa kikao cha Kamati ilipokutana kwa ajili ya mafunzo kuhusu majukumu ya wizara ya TAMISEMI jijini Dar es Salaam.
BUN3
Naibu Spika wa Bunge Mhe. Dkt Tulia Ackson (MB) akiongea na Waandishi wa Habari mara baada ya kutembelea Kamati za Kudumu za Bunge ambazo zipo katika mafunzo kuhusu maeneo yao ya kazi jijini Dar es Salaam.
BUN4
Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Viwanda na Biashara Mhe. Vicky Kamata (MB) akiongoza kikao cha Kamati hiyo jijini Dar es Salaam. Kulia  kwake ni Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe Charles Mwijage (MB).
BUN5
Mwenyekiti wa Kamati ya Bajeti Mhe Hawa Ghasia (MB) akiongoza kikao cha Kamati hiyo wakati wa mafunzo ya wiki moja kwa kamati hiyo jijini Dar es Salaam.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment