Katibu Mkuu wa Baraza la Wanawake
Chadema Taifa BAWACHA na Mbunge Viti Maalumu Taifa Grace Tendega (katikati) jana February 20,2016 akizindua ofisi Mpya ya Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Mwanza Chadema, Susan Masele (Kulia). Kushoto ni Paschazia Renatus ambae ni Katibu wa Bawacha Mkoa wa Mwanza.
Chadema Taifa BAWACHA na Mbunge Viti Maalumu Taifa Grace Tendega (katikati) jana February 20,2016 akizindua ofisi Mpya ya Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Mwanza Chadema, Susan Masele (Kulia). Kushoto ni Paschazia Renatus ambae ni Katibu wa Bawacha Mkoa wa Mwanza.
Akizungumza
katika Uzinduzi huo, Tendega alipongeza uwepo wa ofisi hiyo ambayo
itakuwa ikisikiliza kero za wananchi bila kujalisha itikadi zao za
kisiasa kwa ajili ya kupokea hoja za wananchi na kuzitafutia ufumbuzi
ikiwemo kuzisemea bungeni.
“…Kazi
ya Mbunge siyo kugawa hela. Kazi ya Mbunge ni kusikiliza kero za
wananchi na kuzitatua. Na mimi niseme nitakuwa mwakilishi bora na hapa
tumeanza tu ambapo katika ofisi hii nitakuwa napokea na kusikiliza kero
za wananchi na kwenda kuzisemea bungeni… Alisema Mbunge wa Viti Maalumu
Mkoa wa Mwanza Chadema, Susan Masele.
Ofisi
hiyo inapatikana Mtaa wa Ghana Green View, Kata ya Nyamanoro, Jimbo la
Ilemela Mkoani Mwanza. Ndani yake pia kuna Ofisi ya BAWACHA Mkoa wa
Mwanza.
Katibu
Mkuu wa Baraza la Wanawake Chadema Taifa BAWACHA na Mbunge Viti Maalumu
Taifa Grace Tendega (katikati) jana February 20,2016 akizindua ofisi
Mpya ya Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Mwanza Chadema, Susan Masele. Kushoto ni Paschazia Renatus ambae ni Katibu wa Bawacha Mkoa wa Mwanza.
Kulia ni Katibu Mkuu wa Baraza la Wanawake Chadema Taifa BAWACHA na Mbunge Viti Maalumu Taifa Grace Tendega akiwa pamoja na Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Mwanza Chadema, Susan Masele
Katibu
Mkuu wa Baraza la Wanawake Chadema Taifa BAWACHA na Mbunge Viti Maalumu
Taifa Grace Tendega akizungumza katika uzinduzi wa ofisi ya Mbunge wa
Viti Maalumu Mkoa wa Mwanza (Chadema).
Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Mwanza Chadema, Susan Masele akizungumza katika uzinduzi wa ofisi ya Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Mwanza (Chadema).
Mwenye
Kinasa sauti ni Damas Kimenyi ambae ni Katibu wa Mbunge wa Viti Maalumu
Mkoa wa Mwanza (Chadema), akizungumza katika uzinduzi wa ofisi ya
Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Mwanza (Chadema).
Madiwani wa Chadema Mkoani Mwanza wakijitambulisha wakati wa uzinduzi wa ofisi ya Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Mwanza (Chadema).
Akina mama wa Chadema wakiwa katika uzinduzi wa ofisi ya Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Mwanza (Chadema).
Bendera za Taifa na Chadema zikipandishwa wakati wa uzinduzi wa ofisi ya Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Mwanza (Chadema).
Akina Mama wa Chadema Mkoani Mwanza wakimlaki Katibu Mkuu wa Baraza la Wanawake Chadema Taifa BAWACHA na Mbunge Viti Maalumu Taifa Grace Tendega wakati wa Uzinduzi wa ofisi ya Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Mwanza (Chadema).
Kabla ya Uzinduzi huo, Kulikuwa na Shughuli ya Kuwatembela wagonjwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mwanza Sekour Toure

0 comments :
Post a Comment