FBI WAHAHA KUPATA USHAHIDI CALIFONIA

Nkupamah media:


Shirika la kijasusi nchini Marekani FBI, miezi miwili baada ya watu kumi na wanne kuuwawa mjini Califonia na wanandoa wa kiislamu wenye itikadi kali, wachunguzi hawajabaini ushahidi wowote katika simu iliyopatika kutoka kwa mmoja wa wauaji.
Mkurugenzi wa shirirka hilo la kijasusi,James Comey amekuwa akitoa ushaidi katika kamati ya upelelezi ya seneti ya Marekani,kufuatia kupigwa kwa risasi kwa wingi San Bernardino mwezi desemba.
Bwana Comey anasema kuwa mawasiliano yao yalikuwa ni ya siri na waliweza kutumia tekinolojia ya hali ya juu kuvuruga mitambo, hivyo kuathiri sheria kuweza kuchukua mkondo wake.
Sheria ya kuondoa ulinzi wa mawasiliano hayo bado unajadiliwa mjini Washngton ili kukabiliana na mashambulizi yaliyotokea California.BBC
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment