SIKIA HII HUYU MWANAUME ATOBOA SIRI BAADA YA KULALA NA MSANII HUYU MARA 50 KWA MUDA WA WIKI MOJA ,INAWEZEKAKANA AU?

Nkupamah media:

Staa wa muziki kutoka nchini Kenya, Colonel Mustafa amedai kuwa amesha fanya mapenzi na Huddah Monroe zaidi ya mara 50 kwa penzi lililodumu kwa muda wa wiki mbili pekee.

Akizungumza katika kipindi cha Friday Night Live cha East Africa Television Ijumaa hii, Colonel alizungumzia uhusiano wake na Huddah Monroe.

Nilikuwa na mahusiano na Huddah, tuli sex hata mara 50. Huddah she’s fine kitandani, Nafikiri amepelekwa unyagoni kidogo” Alisema Mustafa.

Hata hivyo, mrembo Huddah aliwai kukanusha kutoka kimapenzi na Colonel huku akidai msanii huyo alikuwa anatafuta kiki kupitia jina lake.

Katika hatua nyingine Mustafa alisema anamkubali Diamond , AY, pamoja na Navy Kenzo na anawish siku moja angefanya kolabo na mmoja kati ya hao.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment