Wahariri
wa baadhi ya vyombo vya habari nchini wamekutana na kujadili mambo
mbalimbali ikiwa ni pamoja na mustakabali wa taaluma ya habari nchini.
Baadhi
ya wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari pamoja na wadau wengine wa
habari wakijadiliana juu ya changamoto anuai zilizojitokeza katika
Uchaguzi Mkuu wa 2015 na namna ya kuzikabili changamoto hizo. Mjadala
huo ulioandaliwa na taasisi ya Internews ulifanyika Ofisi za Internews
jijini Dar es Salaam juzi.

Mmoja wa wadau wa habari na mwanasheria (katikati) akifafanua jambo kwa washiriki wa mjadala huo.
Wenceslaus Mushi kutoka Internews (wa kwanza kulia) akiwakaribisha washiriki wa mjadala huo kabla ya kuanza majadiliano.
Baadhi
ya wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari pamoja na wadau wengine wa
habari wakijadiliana juu ya changamoto anuai zilizojitokeza katika
Uchaguzi Mkuu wa 2015 na namna ya kuzikabili changamoto hizo. Mjadala
huo ulioandaliwa na taasisi ya Internews ulifanyika Ofisi za Internews
jijini Dar es Salaam juzi.
0 comments :
Post a Comment