Nkupamah media:
Katibu Mtendaji Bodi ya Filamu Tanzania Bi.Joyce Fissoo (kushoto) akiwa pamoja na mshindi wa tuzo ya Filamu Bora ya Lugha ya Kiswahili Afrika Bw.Single “Richie” Mtambalike baada ya kuwapokea leo jijini Dar es Salaam.Richie amepata tuzo iyo kupitia filamu ya Kitendawili ambayo amecheza na Yvone “Monalisa”Cherry.
Katibu Mtendaji Bodi ya Filamu Tanzania Bi.Joyce Fissoo (kulia) akiwa na Vyone ‘Monalisa’ Cherry ambaye ameshiriki kucheza filamu iliyoshinda tuzo ya Filamu Bora ya Lugha ya Kiswahili Afrika inayoitwa Kitendawili.


0 comments :
Post a Comment