Kocha
wa zamani wa Real Madrid, Rafa Benitez (pichani-chini) ambaye amesaini
mkataba wa miaka mitatu kuifundisha Newcastle United, usiku huu
amekaribishwa kwa machungu baada ya kikosi chake hicho anachokinoa
kukubali kichapo cha bao 1-0, dhidi ya timu ya Leicester City.
Mchezo
huo wa aina yake, dakika ya 25 tu ya mchezo kipindi cha kwanza,
mchezaji wa Shinji Okazaki bao ambalo llidumu hadi kipyenga cha mwisho,
vinara hao wa ligi wameweza kujihakikishia pointi 63.


0 comments :
Post a Comment