Waziri wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mh Ummy Mwalimu akizungumza na wageni kutoka UNICEF walipomtembelea ofisini kwake. Wakwanza kushoto ni Maniza Zaman muwakilishi kutoka Chief UNICEF Tanzania na wapili kushoto ni Sudha Shara afisa kutoka UNICEF.
Kaimu Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ndg. Michael John akikabidhi vifaa muhimu kwaajili ya udhibiti salama wa taka zitokanazo na huduma za afya na usafi kwa hospitali za mfano za mikoa 12 na Wilaya 2 nchini.


0 comments :
Post a Comment