MH.JANUARI MAKAMBA AKUTANA NA MABALOZI OFISINI KWAKE

Nkupamah media: 

jun1
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais- Muungano na Mazingira Mh. January Makamba akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Ufaransa Nchini Bi. Malika Berak aliyemtembelea Ofisini kwake kuzungumzia masuala ya mazingira na mashirikiano ya Nchi hizo mbili.
jun2
. Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais- Muungano na Mazingira Mh. January Makamba akiongea na Balozi wa Ufaransa Nchini Bi. Malika Berak alimpomtembelea Ofisini kwake mtaa wa Luthuli. Wengine katika picha ni Mkurugenzi wa Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais Dkt. Julius Ningu pamoja na Afisa toka ubalozi wa Ufaransa.
jun3
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais- Muungano na Mazingira Mh. January Makamba akichanganua jambo wakati akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Japan, Masaharu Yoshida alimpomtembelea Waziri Ofisini kwake kuzungumzia na kushauriana juu ya programu ya kuteketeza taka hapa Nchini.
jun4
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais- Muungano na Mazingira Mh. January Makamba akiwasikiliza kwa makini Wageni kutoka The Giants Club Keith Roberts (wa kwanza kulia) na mwWaziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais- Muungano na Mazingira Mh. January Makamba akiwasikiliza kwa makini Wageni kutoka The Giants Club Keith Roberts (wa kwanza kulia) na mwingine kutoka Michael Foundation Jean du Plessis (katikati). Ujumbe huo ulimtembelea Waziri Makamba Ofisini kwake kujadili masuala ya mazingira.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment