NAIBU WAZIRI MASAUNI AFANYA MAZUNGUMZO NA KAIMU BALOZI WA MAREKANI NCHINI

Nkupamah media :

NDN1
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Injinia Hamad Masauni (kushoto) akizungumza na Kaimu Balozi wa Marekani nchini, Virginia Blasser (katikati) pamoja na Kaimu Naibu Balozi wa Marekani, Vicent D’Spera, kuhusu masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya Wizara yake na Ofisi ya Kaimu Balozi huyo nchini. Viongozi hao wa Ubalozi wa Marekani nchini walimtembelea Naibu Waziri Masauni ofisini kwake jijini Dar es Salaam leo. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
NDN2
Kaimu Balozi wa Marekani nchini, Virginia Blasser (kulia) akimfafanulia jambo Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Injinia Hamad Masauni wakati Kaimu Balozi huyo alipomtembelea Naibu Waziri Masauni ofisini kwake, jijini Dar es Salaam leo, kujadili masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya Ubalozi wa Marekani na Wizara. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
NDN3
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Injinia Hamad Masauni (kushoto) akifurahi jambo na Kaimu Balozi wa Marekani nchini, Virginia Blasser (katikati) pamoja na Kaimu Naibu Balozi wa Marekani, Vicent D’Spera, baada ya kumaliza mazungumzo yao kuhusu masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya Wizara na Ofisi ya Kaimu Balozi huyo nchini. Viongozi hao wa Ubalozi wa Marekani nchini walimtembelea Naibu Waziri Masauni ofisini kwake jijini Dar es Salaam leo. Picha zote na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment