Mbunge wa Jimbo la Mtama ambaye pia ni Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akizungumza na wananchi wa kijiji cha Sudi kwenye mkutano wa kuwashukuru na kuwapa taarifa za mambo ambayo ameshafanya mpaka sasa.
Mbunge
wa Jimbo la Mtama ambaye pia ni Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na
Michezo Mhe. Nape Nnauyeakihutubia wakazi wa kata ya Mtama na Majengo .
Mbunge
wa Jimbo la Mtama ambaye pia ni Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na
Michezo Mhe. Nape Nnauyeakihutubia wakazi wa kata ya mtama waliojitokeza
kumsikiliza nje ya ofisi za Mbunge aliwaambia wananchi hao kuwa makini
katika masuala ya kuuza ardhi hovyo .
Wakazi
wa kijiji cha Sudi wakimsikiliza Mbunge wa Jimbo la Mtama ambaye pia ni
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye.
Mbunge
wa Jimbo la Mtama ambaye pia ni Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na
Michezo Mhe. Nape Nnauye akiangalia jengo la mahakama (halitumiki kwa
sasa) la mwaka 1939 lililopo kwenye kijiji cha Sudi.
Mbunge
wa Jimbo la Mtama ambaye pia ni Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na
Michezo Mhe. Nape Nnauye akizungumza na Diwani wa kata ya Sudi Ndugu Ali
Athumani Njai mara baada ya kutembelea majengo ya serikali ya kijiji
ambayo hayatumiki kwa sasa.
Wakazi
wa Mtama wakimpokea Mbunge wa Jimbo la Mtama ambaye pia ni Waziri wa
Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye wakati alipokuwa
akiwasili kwenye eneo la mkutano nje ya ofisi za Mbunge Jimbo.
Kikundi cha Hamasa kikiimba nyimbo za kumkaribisha Mbunge wa Jimbo la
Mtama ambaye pia ni Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe.
Nape Nnauye.
0 comments :
Post a Comment