Pichani juu ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli akiteta na Makamu wa Rais Mh.Samia Suluhu Hassan na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa baada ya kumwapisha Katibu Mkuu, Kiongozi Mhandishi Joh Kijazi, Ikulu jijini Dar es salaam Machi 7, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).