RAIS DK. MAGUFULI AKUTANA NA MWAKILISHI WA SHIRIKA LA (UNHCR) ANAYEMALIZA MUDA WAKE BI. JOYCE MENDS-COLE IKULU JIJINI DAR ES SALAAM.

Nkupamah media: 

wak1
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia Wakimbizi UNHCR anayemaliza muda wake Bi. Joyce Mends-Cole Ikulu jijini Dar es Salaam.
wak2
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia Wakimbizi UNHCR anayemaliza muda wake Bi. Joyce Mends-Cole Ikulu jijini Dar es Salaam.PICHA NA IKULU
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment