Nkupamah media:
- Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai akizungumza na Mtaalamu Mwandamizi wa Masuala ya Afya kutoka Mfuko wa Dunia wa Afya Bw.Svend Robinson. Walikuwa wakizungumza kabla ya kuanza kwa mkutano uliowahusisha baadhi ya Wabunge na wadau wa Afya. Mkutano huo ulilenga kujadili kuhusu uwekezaji katika Sekta ya Afya na ulifayika leo tarehe 3 Machi, 2016 Jijini Dar es Salaam.
(Picha na Ofisi ya Bunge)


0 comments :
Post a Comment