Wahamiaji wazidi kuitesa Uturuki

  • Nkupamah media:
Image copyright
Uturuki inatuhumiwa na Jumuiya ya Ulaya kuwa na wimbi kubwa la wahamiaji wanaovuka ,na kuchukua msaada unaozidi euro bilioni tatu.
kutokana na hali hiyo Umoja wa ulaya umeitaka Uturuki kuwachukua wahamiaji ambao hawakukidhi vigezo vya kupata hifadhi na kuongeza jitihada zaidi za kuwazuia kuvuka bahari ya Aegean kuelekea Ugiriki.
Raisi wa bunge la Ulaya ,Martin Schulz amesema suala la maombi ya uturuki kutaka kuongezewa euro bilioni tatu ili kulipia huduma za afya na shule kwa ajili ya wakimbizi wanaokaa nje ya kambi bado linajadiliwa katika mkutano huo wa nchi za umoja wa ulaya.
Hata hivyo Katibu mkuu wa NATO amesema mkutano huo ulioanza jana unafahamika wazi malengo yake katika nchi ya Uturuki na ukanda wa bahari ulioko upande wa ugiriki. Ameyasema wakati akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari,Jens Stoltenberg na Waziri Mkuu wa Uturuki Jens Stoltenberg.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment