Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), DR.Vincent Mashinji ameripoti rasmi kwenye ofisi yake mpya jijini Dar es Salaam na kupokelewa na viongozi mbalimbali waandamizi wa chama hicho akiwemo Naibu Katibu Mkuu wa Chadema Zanzibar, Salumu Mwalimu.
Hii ni tokea katibu Mkuu huyo kuchaguliwa kwake kwenye mkutano wa Baraza Kuu CHADEMA, uliofanyika jijini Mwanza Machi 12 mwaka huu.
Katibu Mkuu Dr Vicent Mashinji akiwa ofisini kwake Makao Makuu mapema leo.
Watendaji wa Makao Makuu wakimkaribisha Katibu Mkuu Dr. Vicent Mashinji mapema leo.
Watendaji wa Makao Makuu wakimkaribisha Katibu Mkuu Dr. Vicent Mashinji mapema leo. Anayemfuatia ni Naibu Katibu Mkuu wa Chadema Zanzibar, Salumu Mwalimu.
0 comments :
Post a Comment