WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI
JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI
KUFUTWA KWA ZOEZI LA USAILI
Kamishna
Jenerali wa jeshi la zimamoto na uokoaji anawatangazia waombaji
walioitwa kwa ajili ya usaili nafasi ya sajini wa zimamoto na uokoaji
(SERGENT OF FIRE AND RESCUE) na konstebo wa zimamoto na uokoaji (FIRE
CONSTABLE) kuwa zoezi la usaili lililopangwa kufanyika terehe
20/04/2016 kama ilivyotangazwa katika gazeti la UHURU toleo Na.22413 la
tarehe 08/04/2016 limefutwa. Aidha jeshi la zimamoto na uokoaji linaomba
radhi kwa usumbufu uliojitokeza.
IMETOLEWA NA OFISI YA KAMISHNA
JESHI LA ZIMAMOTONA UOKOAJI
09/04/2016
0 comments :
Post a Comment