Balozi wa Umoja wa Ulaya nchini Tanzania, Bw. Roeland Van De Geer
kizungumza jambo wakati wa hafla fupi ya uzinduzi wa programu ya
kusaidia mashirika yasiyo ya kiserikali iliyofanyika jana. Picha na
Geofrey Adroph
Mwakilishi wa Umoja wa Ulaya(EU) kutoka Brussels, Bi Rosario Bento
Pais akizungumzia masuala ya kuzisaidia asasi zisizo za kiserikali ili
ziweze kufanya kazi kwa ufanisi mkubwa maana hizo zinawalenga watu
katika jamii husika.
Baadhi ya mabalozi kutoka Umoja wa Ulaya(EU) pamoja na wageni
waalikwa wakiwa kwenye hafla fupi ya uzinduzi wa programu ya kusaidia
mashirika yasiyo ya kiserikali iliyofanyika jana
Mwakilishi wa Umoja wa Ulaya(EU) kutoka Brussels, Bi Rosario Bento
Pais(kulia) akisaini kuashiria uzinduzi rasmi wa programu ya kusaidia
mashirika yasiyo ya kiserikali kushoto ni Balozi wa Umoja wa Ulaya
nchini Tanzania,Bw. Roeland Van De Geer
Balozi wa Umoja wa Ulaya nchini Tanzania,Bw. Roeland Van De
Geer(kushoto) pamoja na Mwakilishi wa asasi za kiraia, Bw. Francis
Kiwanga wakisaini kuashiria uzinduzi rasmi wa programu ya kusaidia
mashirika yasiyo ya kiserikali za Tanzania Bara na Zanzibar. Katikati ni
Mwakilishi wa Umoja wa Ulaya(EU) kutoka Brussels, Bi Rosario Bento Pais
Mwakilishi wa Umoja wa Ulaya(EU) kutoka Brussels, Bi Rosario Bento
Pais(kushoto), Balozi wa Umoja wa Ulaya nchini Tanzania,Bw. Roeland Van
De Geer(katikati) pamoja na Mwakilishi wa asasi za kiraia, Bw. Francis
Kiwanga wakizindua rasmi programu ya kusaidia mashirika yasiyo ya
kiserikali za Tanzania Bara na Zanzibar.
Picha ya Pamoja.


0 comments :
Post a Comment