Rais wa Jamuhuri Ya muungano wa tanzania Mh Dkt Magufuli Leo katika sherehe Ya Mei mosi Ametangaza kushusha Kodi ya mishahara ya watumishi kutoka asilimia 11 hadi asilimia 9 kuanzia mwaka wa fedha 2016/2017 Julai mosi mwaka huu. endelea kutembelea mtandao huu kwa habari zaidi.
Sky One blog.


0 comments :
Post a Comment