Sherehe za Mei Mosi: Rais Magufuli Asema Wafanyakazi HEWA Wamefikia 10,295


Idadi ya watumishi hewa nchini  imeendelea kuongezeka ambapo takwimu za jana zinaonyesha kuwepo kwa watumishi hewa 10,295

Akizungumza  leo wakati wa maadhimisho ya sherehe za Mei Mosi,  Rais  wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania  Dr John Pombe Magufuli amesema kati ya watumishi hao hewa, 8,373  wanatoka  Tamisemi   na watumishi 1.922 wanatoka serikali kuu.

Amesema watumishi hao walikuwa wakiligharimu taifa sh. Bilioni 11.6 kwa mwezi sawa na Bilioni 139  kwa  mwaka. 
Chanzo:Sky One blog
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment