Kocha mpya wa Manchester United, Jose Morinho ametembelea uwanja unaotumika kufanya mazoezi na klabu yake mpya, Carrington Training Base ambapo alipata fursa za kuangalia maeneo mbalimbali ya uwanja hao.
Katika safari yake hiyo ya kutembelea uwanja huo, Mourinho aliongozana na wenyeji wake, Mkurugenzi Mtendaji wa Manchester United, Ed Woodward na Mchezaji mkongwe wa klabu hiyo, Sir Bobby Charlton.







Blogger Comment
Facebook Comment