Mgeni
rasmi wa uzinduzi wa duka jipya la Vodacom Tanzania, lililopo katika
sehemu ya maduka makubwa(Rocky City Mall)jijini Mwanza, Mkuu wa Mkoa
huo,John Mongella(watatu kushoto) Mkurugenzi wa Usambazaji bidhaa wa
Vodacom Tanzania,Hassan Saleh(kushoto)pamoja na Meneja wa duka
hilo,Yohana Mswahili wakifafanuliwa jambo na Mkuu wa kitengo cha wateja
wa rejareja wa kampuni hiyo,Brigita Stephen(kulia) wakati wa uzinduzi wa
duka hilo jana.
Mkuu
wa kitengo cha wateja wa rejareja wa kampuni hiyo, Brigita
Stephen(kulia)akimuonesha Mkuu wa Mkoa wa Mwanza,John Mongella(wanne
kushoto) moja ya simu inayopatikana kwa bei nafuu baada ya kuzindua
duka jipya la kampuni hiyo, lililopo katika sehemu ya maduka
makubwa(Rocky City Mall)jijini Mwanza jana,wengine katika picha ni
wateja pamoja na Mkurugenzi wa Usambazaji bidhaa wa kampuni hiyo,Hassan
Saleh(kushoto).
Mkuu
wa mkoa wa Mwanza, John Mongella(watatu kushoto) akikata keki kuashiria
uzindua duka jipya la kampuni hiyo, lililopo katika sehemu ya maduka
makubwa(Rocky City Mall)jijini Mwanza jana,Wengine katika picha kushoto
Mteja wa duka hilo,Miraji Mtaturu,Meneja wa duka hilo,Yohana Mswahili na
Mkurugenzi wa Usambazaji bidhaa wa kampuni hiyo,Hassan Saleh.
Mgeni
rasmi wa Uzinduzi wa duka jipya la Vodacom Tanzania, lililopo katika
sehemu ya maduka makubwa(Rocky City Mall)jijini Mwanza, Mkuu wa Mkoa
huo,John Mongella(watatu kushoto)akimshuhudia Mkurugenzi wa Usambazaji
bidhaa wa kampuni hiyo,Hassan Saleh(kulia)akimlisha keki Sara
Jeremia,ambaye alikuwa Mteja wa kwanza kununua bidhaa katika duka hilo
baada ya kuzinduliwa rasmi jana. Na Mkuu wa mkoa huo,katikati Meneja wa
duka hilo,Yohana Mswahili.
Mkuu
wa Mkoa wa Mwanza, John Mongella(watano kushoto) akigonganisha glasi na
baadhi ya wafanyakazi wa Vodacom Tanzania,Ikiwa ni ishara ya Uzindua wa
duka jipya la kisasa la kampuni hiyo lililopo katika sehemu ya maduka
makubwa(Rocky City Mall)jijini humo jana.
Blogger Comment
Facebook Comment