Zitto Kabwe kuisaliti kambi ya ukapera...Amchumbia mrembo huyu


Kambi maarufu mjini ya Ukapera inatarajia kupata pigo la mwaka pale member wake mahiri na wa muda mrefu, mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe atakapoipiga kibuti rasmi.

Zitto amemchumbia msichana mrembo anayetarajia kumbadilisha jina soon kuwa ‘Mrs Kabwe.’

Picha za mbunge huyo akimvisha pete msichana huyo mbele ya ndugu na jamaa zimesambaa mtandaoni wiki hii.

Kuna picha moja inayoonesha kuwa ni post ya Instagram aliyoiweka Zitto ambapo aliandika: So Beautifu and full of love. I love you.

Kabla ya kufutwa post hiyo ilikuwa imefikisha comments 216 na likes 3,257. 
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment