PICHA 18: Familia na watu zaidi ya 14000 walipokusanyika kufanya ibada kwa ajili ya Muhammad Ali


Siku ya Ijumaa ya June 10 ndio ilikuwa siku ambayo wapenzi na mashabiki wa mchezo wa ngumi, walipata nafasi ya mwisho ya kufanya ibada ya pamoja ya katika ukumbi waKentucky Freedom kumuombea bondia nguli wa mchezo wa ngumi duniani hayati Muhammad Ali.
Familia ya hayati Muhammad Ali ilikusanyika pamoja na umati wa watu unaotajwa kufikia 14000 na kufanya ibada ya pamoja ya saa moja, kwa ajili ya kumuombea Muhammad Ali, ibada ambayo ilihudhuriwa na wake zake pia Khalilah Camacho-Ali na Veronica Porche-Ali.
10
Bondia wa zamani Lennox Lewis
15
Bondia Sugar Ray alikuwepo pia
2-1
Mke wa tatu wa Muhammad Ali ‘Veronica Porche’
1-1
Mke wa pili wa Muhammad Ali ‘Khalilah Camacho’
20
18
13
16
4-1
5-1
6
7
8 (2)
9
12
11
0
3-1
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment