Baadhi ya wachezaji wa Timu ya
Taifa ya Vijana wenye umri wa chini ya miaka 17 – Serengeti Boys, wakiwa
Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Maya Maya mara baada ya kutua leo
wakitokea Kigali nchini Rwanda walikopiga kambi kabla ya kuwavaa vijana
wenzao wa Congo, Jumapili ya Oktoba 2, 2016 kwenye dimba la Massamba
Sebat, Brazzaville. Timu hiyo imefikia Hoteli ya Michael’s iliyopo
Barabara ya Nelson Mandela jijini hapa. Kikosi hicho kimetua salama
salmin kujindaa kuifumua Congo Jumapili. (Picha na Alfred Lucas wa TFF).
Kipa Na. 1 wa Timu ya Taifa ya
Vijana wenye umri wa chini ya miaka 17 – Serengeti Boys, Ramadhani
Kabwili akionyesha furaja ya kuwa fiti mara baada ya kutua Uwanja wa
Ndege wa Kimataifa wa Maya Maya, tayari kabisa kuwavaa vijana wenzao wa
Congo, Jumapili ya Oktoba 2, 2016 kwenye dimba la Massamba Sebat,
Brazzaville. Timu hiyo imefikia Hoteli ya Michael’s iliyopo Barabara ya
Nelson Mandela jijini hapa. Kikosi hicho kimetua salama salmin kujindaa
kuifumua Congo Jumapili. (Picha na Alfred Lucas wa TFF).
Kutoa kushoto, Kibwana Shomari,
Yohana Mkomola na Rashid Ada wa Timu ya Taifa ya Vijana wenye umri wa
chini ya miaka 17 – Serengeti Boys, wakiwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa
wa Maya Maya mara baada ya kutua leo wakitokea Kigali nchini Rwanda
walikopiga kambi kabla ya kuwavaa vijana wenzao wa Congo, Jumapili ya
Oktoba 2, 2016 kwenye dimba la Massamba Sebat, Brazzaville. Timu hiyo
imefikia Hoteli ya Michael’s iliyopo Barabara ya Nelson Mandela jijini
hapa. Kikosi hicho kimetua salama salmin kujindaa kuifumua Congo
Jumapili.
Wakiingia Hotelini.
Wakishuka kwenye gari maalumu na kuingia hotelini
Makocha wa Timu ya Taifa ya
Vijana wenye umri wa chini ya miaka 17 – Serengeti Boys, Muharami
Mohammed Sultan maarufu kama Shilton (kushoto) anayewanoa makipa, Kocha
Mkuu Bakari Nyundo Shime au Mchawi Mweusi na Mshauri wa Maendeleo ya
soka la Vijana, Kim Poulsen wakiwa katika picha ya pamoja baada ya
kuwasili Hoteli ya Michael’s iliyopo Barabara ya Nelson Mandela jijini
Brazzaville, Congo.


0 comments :
Post a Comment