Michezo ya Ligi ya Mabingwa Ulaya (UEFA Champions League) imeendelea usiku wa Jumatano ya Septemba, 15 kwa michezo tisa kupigwa ukiwepo mchezo uliohairishwa kuchezwa Jumanne wa Manchester City na Borussia Moenchengladbach kutokana na kunyesha kwa mvua kubwa katika uwanja wa Etihad.
Matokeo ya michezo hiyo ni;
Manchester City 4 – 0 Borussia Moenchengladbach
Bayer Leverkusen 2 – 2 CSKA Moscow
Tottenham Hotspur 1 – 2 Monaco
Legia Warszawa 0 – 6 Borussia Dortmund
Real Madrid 2 – 1 Sporting CP
Club Brugge 0 – 3 Leicester City
FC Porto 1 – 1 FC Koebenhavn
Juventus 0 – 0 Sevilla
Lyon 3 – 0 Dinamo Zagreb