SIMU.tv: Je, ni lini serikali itakamilisha ujenzi wa hospitali ya wilaya ya Shinyanga? Naibu waziri Selemani  Jafo akitolea ufafanuzi swali mbunge Azah Hamad; https://youtu.be/HIuok_S_YVA
SIMU.tv: Tatizo la Maji katika jimbo la Manyoni Mashariki.Je, ni lini serikali itatua tatizo la uhaba wa maji katika  jimbo la Manyoni Mashariki. https://youtu.be/wnYot_3ywxo
SIMU.tv: Kwanini Serikali isifute michezo shuleni? Waziri Nape Nnauye akitoa ufafanuzi wa  swali  mbunge wa Kilolo Mhe.Venance Mwamoto. https://youtu.be/BwFVH5MvAos
SIMU.tv: Soko la zao la Tumbaku. Je, ni lini serikali itasaidia upatikanaji wa soko wa zao la tumbaku kwa wakulima wa mkoani Mara?https://youtu.be/NMdLkoNw3D4
SIMU.tv: Je, ni lini serikali itaboresha vituo vya afya vya jeshi? Naibu waziri wa afya Hamisi Kigwangalla ajibu swali la mbuge Saada Mkuya. https://youtu.be/p1SJI2W2_rc
SIMU.tv: Je, kwanini serikali imeshindwa kujenga mahakama  katika jimbo la Mbagala? Waziri Mwakyembe ajibu swali mbunge Issa Mangungu; https://youtu.be/OYewVR_iXYc
SIMU.tv: Je, serikali inafikiria nini kuhusu kutoa elimu kwa umma kuhusu simu feki? Waziri Prof.Mbarawa ajibu swali la mbunge Mahonda Mhe.Bahati Abeid ; https://youtu.be/hN2iJMpl_F8