Ni October 15, 2016 ambapo msanii mkongwe kutoka Bongoflevani, Afande Sele aliingia kwenye headlines mitandaoNI za kuhusu kuhamia CCM kutokana na picha iliyosambaa ikimuonesha akiongea kwenye msafara uliosimamishwa na Makamu wa Rais Samia Suluhu mkoani Morogoro.
Kaongea haya>>Hizo
taarifa si kweli na napokea simu nyingi sana kuhusu habari uliyoisikia
ile siku nilipata mualiko wa Serikali kuzungumza machache baada ya
Makamu wa Rais mama yetu Samia Suluhu alipofika mkoani kwetu sikuwa
pekee yangu bali nilikuwa na mkuu wa mkoa naomba watu wajue kwamba mimi
bado nipo katika chama changu cha ACT’
Unaweza ukabonyeza play kumsikiliza Afande Sele

0 comments :
Post a Comment