Imeripotiwa Kupotea kwa Rais wa Malawi, Peter Mutharika


Habari kubwa inazosambaa sasa hivi katika mitandao ya jamii ni hii iliyoripotiwa na kituo kikubwa cha habari Kenya cha Citizen kupotea kwa Rais wa Malawi, Peter Mutharika ambae hajarudi nchini kwake tangu alivyoondoka kuelekea New York Marekani kwenye mkutani mkubwa wa Umoja wa Mataifa kwa mujibu wa rekodi imetajwa kuwa aliondoka nchini New york, September 15 2016 na mpaka sasahivi hajawasili nchini kwake Malawi.
Rais Mutharika amepotea kwa muda wa wiki 3 tangu sasa aondoke nchini kwake na imepelekea raia wa nchi hiyo kuweka hashtags kwenye mitandao ya kijamii zikisema #bringbackMutharika haswa kwenye twitter kama unavyoona hapo chini.
untitled
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment