Polisi kanzu akimdhibiti kwa bastola, alipomkamata kijana aliyekimbia na pingu baada ya kufika katika Mahakama ya Ilala, Kariakoo jijini Dar es Salaam, leo akitokea mahabusu. jina la kijana huyo na kesi inayomkabili havikuweza kupatikana mara moja. Kijana huyo alikamatwa hatua chache katika mtaa wa Lumumba 
Polisi kanzu akimdhibiti kwa bastola, alipomkamata kijana aliyekimbia na pinngu baada ya kufika katika Mahakama ya Ilala, Kariakoo jijini Dar es Salaam, leo akitokea mahabusu. jina la kijana huyo na kesi inayomkabili havikuweza kupatikana mara moja. Kijana huyo alikamatwa hatua chache katika mtaa wa Lumumba

Abiria waliokuwa katika daladala wakishangaa tukio hilo

Polisi akimdhibiti kijana huyo wakati akirejeshwa mahakamani baada ya kukamatwa akijaribu kukimbia na pingu 
Polisi akimdhibiti kijana huyo wakati akirejeshwa mahakamani baada ya kukamatwa akijaribu kukimbia na pingu  
Polisi akimdhibiti kijana huyo wakati akirejeshwa mahakamani baada ya kukamatwa akijaribu kukimbia na pingu.
(PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO-theNkoromo Blog)