Leo
August 19 2016 zimesambaa taarifa zilizomhusu mkuu wa mkoa wa Ausha,
Mrisho Gambo, taarifa hizo zilidai kuwa Rais Magufuli ametengua uteuzi
wa mkuu huyo wa mkoa hata hivyo ikulu imekanusha taarifa hizo kuwa
hazina ukweli wowote.
RC Gambo
wakati akiwa kwenye kikao na wafanyabiashara amelizungumzia hilo pia na
kusema watu wapuuze taarifa zilizotolewa kwenye mitandao kwamba
ametenguliwa kwenye nafasi yake na amesema Rais amempigia simu
akamwambia anamwamini na ataendelea kukaa Arusha kwa ajili yakufanya
kazi kwa ajili ya wananchi.
Unaweza kubonyeza play hapa chini


0 comments :
Post a Comment