DERPOTIVE TENNERIFE YAKAMILISHA USAJILI WA FARIDI MUSSA,KUONDOKA LEO KWENDA HISPANIA


faridd
Hatimaye Kiungo mshambuliaji wa klabu ya Azam FC mwenye kasi, Farid Mussa anatarajiwa kuondoka nchini leo kwenda Hispania kujiunga na timu ya Derpotive Tennerife inayoshiriki Ligi daraja la kwanza nchini humo.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment