Sasa baada ya kuwepo kwa hizo taarifa, shirikisho la soka Tanzania (TFF) limeongea yafuatayo >>> ‘Swala la usajili wa mtu mnaemtaja Okwi, Simba inaweza ikamsajili lakini itamtunza tu ama kucheza mechi za kirafiki lakini kucheza ligi kuu au kombe la FA haiwezekani‘
‘Kucheza ligi kuu au kombe la FA kwa msimu huu December January mpaka May June hachezi, kwenye mpira wa miguu ukikosa utaratibu, kanuni na sheria mpira wa miguu hamna…. tutakua tunafanya mambo ya ovyo ovyo mwanzo mwisho‘ – TFF
‘Utaratibu huo unaozungumzwa na kanuni hiyo vipo Ulaya ambako kuna Treni za umeme na vitu tofauti, kule ni Ulaya na hapa ni Afrika, hapa ni Tanzania…. anaeongoza mpira na mwenye mpira wake Tanzania ni TFF‘
0 comments :
Post a Comment