Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe magufuli
akiwasalimia wakazi wa Nyamikoma Wilayani Busega wakati akiwa njiani
kuelekea mkoani Simiyu kwa ajili ya ufunguzi wa barabara ya
Bariadi-Lamadi
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe magufuli
akiwasalimia wakazi wa Kisesa mkoani Mwanza wakati akiwa njiani kuelekea
mkoani Simiyu kwa ajili ya ufunguzi wa barabara ya Bariadi-Lamadi.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe magufuli mara baada
ya kushuka kwenye kivuko cha Mv Misungwi wakati akitokea Chato mkoani
Geita
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe magufuli
akiwasalimia wakazi wa Magu mkoani Mwanza wakati akiwa njiani kuelekea
mkoani Simiyu kwa ajili ya ufunguzi wa barabara ya Bariadi-Lamadi.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe magufuli mara baada
ya kushuka kwenye kivuko cha Mv Misungwi wakati akitokea Chato mkoani
Geita. PICHA NA IKULU
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe magufuli mara baada
ya kushuka kwenye kivuko cha Mv Misungwi wakati akitokea Chato mkoani
Geita.
0 comments :
Post a Comment