Shirikisho
la Soka Afrika (CAF) limetoa ratiba ya makundi ya kufuzu michuano ya
Mataifa ya Afrika mwaka 2019 (AFCON2019) michuano ambayo itafanyika
nchini Cameroon.
Tanzania imepangwa katika kundi L ikiwa pamoja na Uganda, Lesotho na Cape Verde.
Michuano
hii hufanyika kila baada ya miaka miwili ambapo mwaka 2017 inafanyikia
nchi Gabon ambapo inatarajiwa kuanza leo Januari 14, 2017.




0 comments :
Post a Comment